Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwamba Huyu Hapa Kwenye Picha Aibuka na Kudai Yeye ni Mtoto wa Vera Sidika


Jamaa huyo wa nchini Kenya ameibuka kudai kuwa yeye ni mtoto wa Vera Sidika hivyo anamuomba mama yake huyo mzazi amkutanishe na mdogo wake aliyezaa na Brown Mauzo ili wafahamiane kama ndugu


Miezi kadhaa ilopita jamaa huyo alisema hivyo pia ambapo Vera Sidika aling'aka na kukana kuwa na mtoto mkubwa hivyo, Vera alisema anapenda sana watoto kwahiyo kama huyo ni mwanae asingesita kumpostiposti na watu kumjua tangu mwanzo. Hata hivyo, ndio jamaa huyo ameibuka tena kusisitiza socialite huyo ndie mama yake mzazi

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments