Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwanamke Aamua Kununua Mdoli wa Kufanyia Mapenzi Unaofanana Nae ili Umsaidie Kwa Mumewe Mwenye Hamu Kupita Kiasi


Mapya yaibuka! Mwanadada huyo kwa jina la Charlotte(23) amelazimika kununua mdoli huo wa mapenzi unaofanana nae ili uweze kumsaidia katika mahusiano yake kwani bwana'ke huyo kwa jina la Callum(28) kiwango chake cha kufanya mapenzi kipo juu tofauti na yeye hapendi sana hivyo kushindwa kuhimili mechi za kibabe toka kwa bwana'ke huyo


Charlotte amesema awali hakuafiki suala la kuruhusu mdada mwingine aingie katika mahusiano yao wawe katika mahusiano ya utatu sababu yeye angesikia wivu kama ilivyo kwa watu wengi


Hivyo, ilibidi aongee na bwana'ke huyo wanunue mdoli anayefanana nae awe anamsaidia 'kazi' pale anapokuwa hajisikii huku bwana'ke anataka. Ameongeza kwamba sababu ni mdoli wa plastiki hatosikia wivu tofauti ingekuwa ni mdada mwenzie kikwelikweli angejisikia wivu na kuleteana gubuNa ndio wakanunua hilo doli mwezi June mwaka huu kwa pesa ndefu, wanalivalisha nguo za kuvutia, pia wanalitoa out kwa gari doli hilo kwenda kutembea huku na huko ili lisijihisi upweke au kutengwa ndani na nje ya nyumbaCharlotte anadai tangu hapo anahisi mahusiano yao yapo salama na yamenogeshwa na doli hilo

Wawili hao wanaishi Uingereza


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments