Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwijaku: Diamond ajirekebishe awe anaimba jukwaani sio kuruka sarakasi na kuwamwagia watu maji
Mwijaku aiponda Show ya @diamondplatnumz Ureno ya AFRONATION huku akilinganisha na show ya @burnaboygram akisema amezidiwa vitu vingi sana.

@mwijaku ameenda mbali akisema kama tunataka wasanii wetu wafanikiwe basi waambiwe ukweli

“Huwezi kuwa best performer kwa kuwapigia watu kelele na kuruka sarakasi, imba watu wanahitaji uimbe “

Akiiweka show ya @burnaboygram na kujaribu kukosea baadhi ya vitu.

Wewe u a maono gani kuhusu kauli ya @mwijaku baada ya mwanzo kuonekana kuisifia show ile??

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments