Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwimbaji Abdu KIBA Aoa Mke wa Pili
Mwimbaji wa muziki nchini, msanii @officialabdukibaa hakika ni mwenye furaha kwasasa! Hii ni baada ya kuoa mke mwingine na kufanya idadi ya wake zake kuwa wawili hivi sasa.


Ndoa hiyo ambayo imefungwa nyumbani, tukio hilo linatajwa kufanyika mapema Ijumaa ya leo, Julai 1 ambapo imehudhuriwa na watu wake wa karibu.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments