Orodha ya Wakuu wa Mikoa Waliotemwa Katika Uteuzi Uliofanywa na Rais Samia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya, kuwahamisha vituo vya kazi waliokuwepo, huku akiwatema wakuu wa mikoa tisa.


Waliotemwa ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti.


Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Binilith Mahenge, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad