Ticker

6/recent/ticker-posts

P Funk Majani Afunguka "Kajala Masanja wa Harmonize Hashauriki Kuhusu Mtoto Wetu Paula"


P Funk Majani amesema Kajala licha ya umri wake kuanza kumpa kisogo lakini hashauriki kuhusu mtoto wao Paula hivyo kwasasa hana time na Kajala. Majani amesema kwasasa yeye na Paula wapo vizuri kama mtu na baba yake na akitaka kumshauri kitu anaongea na Paula moja kwa moja kwasababu tayari anaelewa zuri na baya

Majani amesema bado Paula ni binti mdogo hivyo anao muda wa kujitazama na kubadilika pale pasipo sahihi

Producer huyo mkongwe Bongofleva, tayari ana ndoa ya miaka 12 yenye watoto 3 ukiacha wengine wakike wawili katika mahusiano mengine ya zamani hivyo pamoja na Paula ana jumla ya watoto 6 wanaojulikana

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments