Pitso Akubali Ombi la Yanga, Sasa Kutua Dar kwa Wiki ya Mwananchi

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ameitikia ombi la Klabu ya Yanga na kuthibitisha kuwa atahudhuria katika wiki ya Mwananchi itakayofanyika Agosti 6, 2022 jijini Dar es Salam.


Ikumbukwe kuwa, Juni 26, 2022, Pitso aliipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC na kufanya gwaride la heshima huku akisema kuwa Afrika nayo inaweza kufanya magwaride yao ya Ubingwa kama Ulaya.Pitso aliongeza kuwa angetamani kuja Tanzania kutazama mechi ya Yanga SC na Coastal Union fainali ya FA lakini majukumu yamembana akaomba link ya kutazama mechi hiyo. Hata hivyo aliomba kujua Ratiba ya Simba na Yanga ili kuja Tanzania kuutazama mchezo huo.


 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad