Ticker

6/recent/ticker-posts

Privaldinyo "Hivi tunamuona Mpole kama amebahatisha au? Tumemkosea heshima"


Hivi tunamuona Mpole kama amebahatisha au? Tumemkosea heshima. Mpole angekuww Muingereza EPL angeondoka na mituzo kibao achilia mbali kuwepo kwenye orodha. Mpole anapaswa kuwa decorated ili kuwa inspiration kwa vijana wengine wazawa. Tusikatishe hawa vijana tamaa 

Watajaribu kufunika, Kuficha, kuzuia na kuto kukutaja kabisa, lakini UKWELI lazima Utaonekana tu. Hamjamuweka George Mpole kwenye kinyang’anyiro cha Mchezaji bora lakini kwenye Mioyo ya Wapenzi wa Soka Tanzania, George Mpole ni kinara 

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments