Ticker

6/recent/ticker-posts

Rose Ndauka: Mume Wangu Anapenda Sana, Mambo Mengine ni Ziada
ROSE Ndauka; ni malkia wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, mume wake, Hafidh anapenda sana kula chakula chake (Rose).

Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Rose anasema kuwa, hakuna kitu ambacho anatamani kila siku zaidi ya kuongeza ujuzi kwenye suala zima la mapishi hivyo anabuni mbinu mpya kila kukicha.


Rose Ndauka amedai kuwa Mume wake anapenda sana kula chakula chake
“Mume wangu anapenda sana kula chakula ninachokipika na huwa natamani sana kila siku niwe na mapishi mapya ili akipende zaidi maana sifa ya kwanza ya mwanaume ni chakula, hayo mengine ni ziada tu,” anasema Rose Ndauka.

Cc; @sifaelpaul

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments