Ticker

6/recent/ticker-posts

Salama SK Amshukia P Funk Majani "Umefanya Nini Kwenye Game, Umebaki Kulelewa Mtoto wako na Harmonize"


Baada ya Producer mkongwe wa B/Flava, P Funk @majani187 kuweka Comment yake kwenye post ya @officialbabalevo akielezea namna Mikataba ya WCB ilivyo jaa ulaghai na unyonyaji mwingi, Meneja wa Diamond Platnumz, @sallam_sk hajataka kuliacha hili lipite.

Kwenye Comment ya Majani, Mendez amereply akimuuliza Producer huyo ni kipi amaekifanya kwenye huu muziki zaidi ya kuwapiga wasanii wenzie na kuwaibia haki zao, na mbaya zaidi leo hii amekuwa mtetezi wa mtu ( @harmonize_tz ) anaye mlelea mzazi mwenzie ( @kajalafrida ) pamoja na mwanaye (@therealpaulahkajala ), Sallam ameandika

“@majani187 Oi bro, umefanya nini kwenye industry zaidi ya kuwapiga wasanii na kuwachukulia haki zao, sasa hivi unatetea mtu anaekulelea mzazi mwenzio na mwanao au? Get ur facts right!!” Sk.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments