AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sallam Sk amedai anashangaa sana kuona watu wanabeza nyimbo za Diamond anazo toa hivi sasa kuwa ni mbaya, na wanamtaka yule Diamond wa kamwambie kitu ambacho hakiwezi kutokea tena.
Sallam amedai hizo nyimbo mbaya anazoimba Diamond, ndizo zinazo mpa show za nje, ndizo zinafanya wao wale, kwahiyo nyimbo mbaya zitaendelea kutoka tu.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK