Ticker

6/recent/ticker-posts

Sipendi Wanaume wa Kibongo Nilimuomba Milioni 7 Akanipa 50 Wakati Mimi ni ya Kununua Mswaki tu

Mwanadada Mulerwa ambaye ni video vixen aliyetamba kwenye video ya Harmonize iitwayo "Mang'dakiwe Remix" amefunguka kwenye kipindi cha Lavidavi Wasafi FM na Diva kwa kusema hajawahi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wa kibongo kwa kuwa wengi ni waongo.

Amesema kuna mwanaume mmoja alimuomba Milioni 7 akampa Tsh Elfu 50 wakati yeye hiyo ni ya kununulia mswaki tu amesema kitu kingine ni pale ambapo rafiki yake alidanganywa na mwanaume kuwa anafanya kazi sehemu fulani kumbe mlinzi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments