MWENYEKITI wa kamati ya harusi ya Nandy na Billnass iliyofanyika jana Julai 16, 2022, Steve Nyerere alisema kwamba harusi hiyo imegharimu kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 2 kwa ajili ya ukumbi, chakula, vinywaji n.k ukiachilia mbali kiasi cha pesa ambacho kimesalia ambacho ni shilingi bilioni 3 zinazotarajiwa kugawanywa miongoni mwa wanakamati wa harusi hiyo.
Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group
0 Comments