Ticker

6/recent/ticker-posts

Usajili wa kutikisa Afrika? Simba SC yamtambulisha kiyombo
Club ya Simba SC imemtambulisha rasmi Habibu Kiyombo kama mchezaji wao mpya, Kiyombo awali alitambulishwa kama mchezaji wa Singida Big Stars ila baada ya makubaliano ya Simba na Singida sasa Kiyombo amejiunga rasmi na Simba SC.

Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments