AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Will Smith amuomba radhi tena Chris Rock baada ya tukio la kumchapa kibao kwenye usiku wa Tuzo za Oscars mwaka huu. Mwigizaji huyo pia ametumia muda wake kumuomba radhi Mama mzazi wa Mchekeshaji Chris Rock kwa namna alivyojisikia baada ya tukio lile.
Tazama VIDEO:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK