Ticker

6/recent/ticker-posts

Watoto wa Kike Waogeshwa Dawa Kuwavutia Wanaume


Baadhi ya wazazi katika Kata ya Ilola, wilayani Shinyanga wamedaiwa kuwaogesha watoto wao wa kike dawa za mvuto wa mapenzi ili wapate wanaume wa kuwaoa na kujipatia utajiri wa mifugo.

Mratibu wa miradi kutoka Shirika la Rafiki-Sido mkoani humo, Mariam Maduhu amebainisha kuwa baadhi ya wazazi katika eneo hilo huwaogesha kwa dawa ijulikanayo kama Samba ili wapate wanaume, huku wakiachishwa masomo na wengine kuambukizwa maradhi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments