Ticker

6/recent/ticker-posts

Yanga Sio Wenzetu Msimu Huu Wasign Dili Nono na Sport Pesa Lenye Dhamani Hii


Klabu ya Yanga imesaini mkataba wa Udhamini mkuu na Kampuni ya kubashiri ya Sportpesa, wenye thamani ya Tsh 12.3B kwa miaka 3, ambayo ni sawa na 4.1B kwa kila mwaka.

Hili ni ongezeko la Tsh bilioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye mkataba awali wa bilioni moja kwa mwaka

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments