Babu Tale Afunguka "Tutasign Wasanii Wawili Mwaka Huu WCB...Mashahidi Watakuwa Cosata na Basata"


Wasafi TV Meneja Kutoka Label Ya #WcbWasafi @babutale Ametangaza Kuwa Hivi Karibuni watasaini Wasanii Wawili Katika Label Hiyo Huku Kila Msanii Akiwa Na Mashahidi Wawili Kutoka BASATA na COSOTA

"Hivi karibuni tuta sain wasanii wawili kujiunga lebo ya Wasafi ila safari hii tumeamua msanii atakua na mashaidi wawili kutoka COSOTA na BASATA. Music ni biashara yetu na nijukumuletu kukuza na kusimamia hii kazi atuwezi kuacha hata iwe vipi. #theblackgodfather" - Babu Tale (Instagram)


đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad