Ticker

6/recent/ticker-posts

Baunsa Huyo wa Nchini Brazil Aliyejichoma Sindano ili Azidi Kujazia Amefariki DuniaValdir Segato(55) awali alionywa na madaktari kuwa kemikali anazojichoma ni hatari zinweza kumletea matizo ikiwemo kuua neva na kumfanya akatwe viungo ila akawa anapuuza na kusema anataka kuwa na mwili kama wa role model wake Arnold Schwarzenneger au Hulk toka filamu za Marvel's


Alikimbizwa hospitali baada ya kupata matatizo ya kushindwa kupumua vizuri na kusadikika kuwa shambulio la moyo ndipo amefariki na kipindi cha nyuma alipata hayo matatizo ya kushindwa kupumua ila akawa hakomi kujichoma sindano azidi kufutuka kuwa baunsa


Aliwahi kusema alikuwa anapenda watu kumsifia mwili wake na kumpa attention

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments