Baada ya Msanii wa Rap nchini, Rosa Ree “Goddess ” kuwapost wasanii wenzie wa wa Rap, Frida Amani pamoja na Chemical kwenye ukurasa wake wa Instagram na akiwataka waendelee kufukua mashimo ila wajue tu atawazika, Rapa Frida Amani pia amejibu.
Kwenye Amplifaya ya Clouds Fm, Frida Amedai hana cha kumjibu mtoa post kwasababu hata hamjui ni nani, akiwa na maana kuwa hajawahi msikia wala kumuona Rosa Ree na haelewi anafanya nini😆
Sema Bifu za wanawake bana
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA