Ticker

6/recent/ticker-posts

Kocha wa Yanga Atakiwa Morocco Kwa Gharama Yoyote..Milioni 93 Kila MweziKlabu ya FAR Rabat ya Morocco inamtaka Meneja wa Yanga SC Nasreddine Nabi kwa ajili kuchukua mikoba ya Sven Vandenbroeck klabuni hapo.

Miamba hiyo ya Morocco ipo tayari kumlipa kocha huyo raia wa Tunisia mshahara wa dola 40,000 (zaidi ya Tsh milioni 93) kwa mwezi https://t.co/wUD6HYtH94

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments