Kwa Mara ya Kwanza Tanzania, KUBET Sasa ni Bure Kupitia Gwala BET

 


Kampuni mpya inayojulikana kwa jina la ‘GwalaBet’ imezinduliwa leo jijini Dar-es-salaam ambapo kila mchezaji atapata nafasi moja ya kucheza bure kila siku. Hii ni mara ya kwanza kutokea nchini Tanzania kwani hakuna mchezo mwingine wowote unaompa mchezaji nafasi ya kucheza pasipo kuweka dau.

Akizungumza wakati wa uzinduzi, Balozi wa GwalaBet Bwana Cedou Mandingo maarufu kama Babuu wa Kitaa amesema huu ni mchezo unaolenga kumpa fursa ya ushindi kila mchezaji. “Hii haijawahi kutokea nchini Tanzania. Michezo yote lazima uweke dau la kucheza ndipo uweze kucheza lakini GwalaBet tunataka kumpa kila mtu fursa ya kushinda. Kila siku unapoamka unakuwa na nafasi ya kuweka mkeka wako wa bure bila masharti yoyote kisha unasubiri ushindi wako” alisema Balozi.

Gwala ni neno linalotumika katika mazungumzo ya kawaida hasa baina ya vijana likiwa na maana ya tano au mia tano. Kama lilivyo jina lake mchezo huu ni unalenga kuwashirikisha wachezaji wote kama wanafamilia ambapo hata kama huna dau la kucheza unakuwa na nafasi ya kucheza. Baada ya mkeka wa bure unaotolewa kila siku mchezaji anaweza kuweka mwingine kwa dau dogo la kuanzia shilingi mia tano ili kujishindia.  

Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Gwalabet, Bwana Lumuliko Mengele amesema Gwala ni kampuni inayomilikiwa na wazawa na inalenga kuhakikisha kwamba watanzania wanafaidika zaidi kupitia mchezo huu. 

“Pamoja na nafasi ya kucheza bure, GwalaBet inatoa ofa na bonasi kibao zikiwemo cashout, multibet hadi 500%, Jackpot kubwa ya Milioni 200,000,000/-” alisema Mengele

Kucheza GwalaBet mchezaji ataingia kwenye tovuti ya www.gwalabet.co.tz au kwa kupakua programu (application) ya Gwalabet kwenye simu. 


Kwa maelezo zaidi:

Website: www.gwalabet.co.tz

Mitandao (Facebook, Instragram):GwalaBet 

Namba ya simu (kupiga): 0748770460

Namba ya simu (Whatsapp): 0747005007


______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad