Ticker

6/recent/ticker-posts

MANGE KIMAMBI awavaa WCB kisa RAY VANNY kudaiwa kupigwa faini ya 50M, aandika haya


Hapa mi nawaza kitu kimoja tu, WASAFI walimsengenya mno Ruge kwa unyanyasaji wa wasaniiii. Wao wanakiona wanachokifanya????? Kati yao na Ruge nani jangili….


Na nyie wasanii hata kama una njaa vipi jamani someni mikataba, peleka mkataba kwa mtu akusomeee akupe ushauri, hizi label zingine zinataka zikukule mpaka siku unakufa…


Harmo alipata bahati ya kuwa na yule mzungu tajiri akaweza kuchomoka. Sasa RayVanny atampata nani saa hii wa kulipa hiyo 800M? Ila RayVanny ngumu hata kumuonea huruma maana anajidaigi kununua ugomvi wa Harmo ili amfurahishe Dai. Labda alidhani akiwa anamchamba Harmo watamwachia atoke bure, nyambaf kumtukana kote kule Harmo kwa niaba yao na bado wamemkalia kooni.


Ila sometimes kuna situation zinahitaji utu tu kwa kweli. Mtu umpe risiti ya 50 hivi hivi? Roho ya kibinadamu iko wapi?


Hivi wale kina MBOSSO si ndo itabidi wafie huko huko Wasafi watakaa kupata pesa kama hizo watoke???


Ila Dai bwana, anamdai mwenzie 50M kwa kuperfom Nandy festival ila hapo hapo bado anampigisha show za bure sijui Ethiopia sijui wapi ila akisema ajitafutie chake cha pembeni ye hataki….

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments