Mbowe "Wafanyakazi Wanakatwa Kodi Mara Mbili"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwenyekiti wa Chama cha #Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema Watumishi wanakatwa kodi mara mbili kutokana na tozo za Miamala ya Kibenki

Amesema "Hatupaswi kuwa waoga tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza Maisha yetu na wakaamua bila kujali kinachotupata. Mshahara wa Mtumishi ni kidogo, unakatwa PAYE, unabaki na ambacho hakikutoshi Wewe na Watoto wako"

Amefafanua zaidi “Unaipeleka kuhifadhi Benki, siku ya kuichukua unakatwa tena Kodi, hiyo ni kukatwa Kodi mara mbili, na Watu wanakaa kimya. Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya kisha Wananchi mnakuwa waoga na wenye hofu ya kuzungumza.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad