Mitambo Kinyerezi II Yapata Hitilafu, Tanesco Yatoa Taarifa Rasmi kwa Umma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) Limewataarifu wateja wake kuhusu kukosekana kwa huduma ya umeme baadhi ya Mikoa nchini kuanzia majira ya asubuhi hadi mchana wa siku ya leo tarehe Agosti 11, 2022 kwasababu ya hitilafu iliojitokeza kwenye mitambo yao ya uzalishaji wa umeme Kinyerezi II iliyopo jijini Dar es Salaam.

 

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limesema jitihada za kurekebisha hitilafu hiyo zinaendelea na watawataarifu pindi huduma itakaporejea katika hali yake ya kawaida.

Imeandikwa: Peter Nnally kwa msaada wa mitandao



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad