Mrembo ambae ni mtoto wa mastaa wawili #PfunkyMajani kutoka Bongofleva na Kajala Masanja kutoka Bongo movie #PaulaKajala, amefunguka kuhusu mapenzi ya wazazi wake na kumtaja Mama yake #Kajalamasanja kuwa ndie Mungu wake wa duniani / Mungu wake wa pili na anampenda sana.
"Mama yangu nampenda sana, Mama yangu ndie Mungu wangu wa duniani" amesema Paula kupitia kipindi cha The Switch ya Wasafi Media.
-
Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group
0 Comments