Rais Samia Afanya Uteuzi TIC na NEEC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPARais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Binilith Mahenge, mkuu wa mkoa wa Singida mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

Dkt. Mahenge anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Profesa Longinus Rutasitara ambaye alimaliza muda wake.

Pia Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Aurelia Kamuzora wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwekezaji Wananchi Kiuchumi (NEEC).

Profesa Kamuzora anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Festus Limbu ambaye alimaliza muda wake.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad