Shaffih Dauda Amwagia SIFA Kidekede Ali Kamwe "Timu Yoyote Itakayokunyakua Itakuwa Imelamba Dume"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nafikiri kijana wangu @alikamwe umeshakomaa na uko tayari kwa majukumu makubwa kwenye mpira wetu.

Ubunifu wako ni wa kiwango cha juu sana. Unajua njia za kutengeneza ushawishi wa jambo hadi likapenya

Mfano mzuri ni jinsi ulivyokuwa ukihamasisha watu kushabikia timu tofauti kwenye Kombe la Dunia, EURO na AFCON

Wazo lako la kuanzisha INSTA UNITED lilivyoweza kuitikisa nchi na kuwaunga watu wa kada tofauti tofauti kutamani kuifatilia.

Lakini kubwa zaidi, ulivyoificha akili yako kubwa nyuma ya Usupa staa wa Bondia KARIM MANDONGA

Unajua namna Engagement inavyotengenezwa. Unajua jinsi ya kutengeneza mashabiki na njia za mapato.

Wewe ndio aina ya watu wanaohitajika kwenye mpira wetu.

Watu wanaokubalika na wenye ushawishi mkubwa. Timu yoyote itakayokunyakua wakati huu, bila shaka itakuwa Imelamba Dume.

DIGALA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad