Kupitia ukurasa wa Twitter wa Waziri Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye ameandika kuwa:
“Leo juu ya Mlima KILIMANJARO.Napandisha MAWASILIANO ya INTERNET yenye kasi (Broadband) kwenye PAA la AFRIKA. Watalii sasa wanaweza kuwasiliana duniani kote toka kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro, TUNAKWENDA UHURU PEAK #royaltourcompliment #royaltour @SuluhuSamia
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA