Uchawi Upo Aisee...Selena Gomez Ajigonga Kwa Mwanamuziki Rema...Ampiga Mabusu Kedekede


Mabusu ya mrembo Selena Gomez kwa mwimbaji nyota toka Nigeria, Rema yawa gumzo mtandaoni!

Video hiyo inatajwa kurekodiwa usiku wa jana wakati ambapo Selena alimtembelea Rema backstage kwenye show yake aliyoifanya huko Los Angeles Marekani, ambayo ipo ndani ya ziara yake iitwayo "Rave & Roses".

Hata hivyo kwenye video hiyo Rema anaonekana kuwa kwenye mshangao wakati Bi dada akijiachia.

đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đź’ĄNAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad