Waliofariki Mbeya kwa ajali wafika 19

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Idadi ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea hii leo Agosti 16, 2022, katika eneo la mteremko wa Inyala Pipeline wilayani Mbeya imefikia 19 ambapo kati yao wanaume ni 12 wanawake sita na mtoto mmoja. 


Aidha  watu 10 wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo ambapo wanaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya na Igawilo. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha usiku huu.


Ajali hiyo imetokea hii leo majira ya saa 2:00 asubuhi, huku chanzo cha ajali kikielezwa kuwa ni kufeli kwa breki ya lori iliyopelekea lori hilo kuparamia magari mengine yaliyokuwa chini ya mlima.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad