Baba Levo Amshauri Ommy Dimpoz " Sababu za Baba Kutomuhudumia Mtoto ni Nyingi na zingine Huwa Zinasababishwa na Mama zetu pia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Sakata la Dimpoz na Baba yake mzazi limemuibua mwanamuziki na mtangazaji toka Wasafi Fm, Baba Levo ambaye ameeleza machache kufuatia inshu hiyo ya mahusiano baina ya Dimpoz na Baba yake ikiwa ni ushauri kwa Dimpoz.

"Ndugu yangu Ommy Dimpoz pamoja na yote uliyoongea kwa uchungu sana. Nakusihi kata mzizi wa fitina kamata mzee wako muweke begani. Nunua IST mpe aendeshe uber atoke kwenye bajaji. Sababu za baba kutomuhudumia mtoto ni nyingi na zingine huwa zinasababishwa na mama zetu pia." - Ameandika Baba Levo.

"Nashauri usiingilie magomvi yao, tumia nafasi yako kama mtoto. Na mungu atakuzidishia." - Amemalizia Baba Levo kwa kutoa ushauri huo kupitia ukurasa wake wa Instagram


 Sababu za Baba Kutomuhudumia Mtoto ni Nyingi na zingine Huwa Zinasababishwa na Mama zetu pia.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad