Chege Chigunda Akana Kulipwa Milioni 25 na Rayvanny


Mwanamuziki Chege Chigunda akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amefunguka kutokulipwa kiasi cha Sh Milioni 25 na msanii Rayvanny kama ambavyo Mwijaku alieleza.

Mwijaku kwenye moja ya mahojiano yake alisema Chege kashalipwa na Rayvanny kiasi cha Milioni 25 kwa ajili ya kumalizana na sakata la msanii Mac Voice ambaye awali alikuwa msanii wake.

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad