google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Habari Kuhusu Kifo Cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga na Dereva Wake | UDAKU SPECIAL

Habari Kuhusu Kifo Cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga na Dereva Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Innocent Bashungwa amethibitisha taarifa za kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga aitwae Fatuma Omari Latu pamoja na Dereva wake aitwae Alex, vilivyotokea kwa ajali ya gari jana mchana wakitokea mkoani Mbeya kwenye Mkutano wa ALAT na kwamba hakuna Mkuu wa Wilaya aliyefariki kwenye ajali hiyo kama ilivyoripotiwa hapo awali.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad