Haji Manara “Nimeachana na Mke wangu wa kwanza..Naweza Kumuoa Msaidizi Wangu Personal Assistant Ikiwezekana""

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baadhi ya Maswali aliyoulizwa Haji Manara na Mtangazaji Diva:

Kuhusu Mke wa Kwanza:

“Nimeachana na Mke wangu wa kwanza … Sijampa talaka bado nasubiri taratibu za kisheria ila nammiss pia” Haji Manara
Kuhusu Mwanamke aliyemtambulisha Kama Personal Assistant Wake:
"Watu Wanashangaa Mimi Kuwa na Msaidizi wa Kazi Zangu Mzuri vile, Niko nae muda mrefu nasafiri nae kikazi, naweza nikamuoa pia ikiwezekana"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad