Huyu Hapa Mwamba Anayejiuza Kwa Wanawake Wenye Pesa, Kwa Mwezi Anaingiza Milioni 23

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mapya yaibuka! Jamaa huyo kwa jina la Samuel amekiri kujiajiri kwa kujiuza kwa wanawake wenye pesa na kwa mwezi anaingiza dola $10,000(Tsh.23 mil)

Samuel kutoka Australia amesema robo ya wateja wake huwa ni wake za watu. Huwa anajiuza kwa wanawake wenye pesa ambao wengi wanampeleka katika hotel za hadhi ya nyota tano

Amesema.July mwaka huu mteja wake wa kike alimpa ofa ya kwenda nae Phuket, Thailand kwa siku 10 wakale raha maeneo ya starehe

Samuel umri wake upo mwanzoni mwa miaka ya 40s, akihojiwa amesema ana miaka miwili tangu ajiajiri moja kwa moja kama kama kah*ba wa kiume anayejiuza kwa wanawake amesema marafiki na familia yake inajua na alipomwambia mama yake awali mama yake hakukubaliana na suala hilo lakini baadaye akamuacha tu na maisha yake

Amesema hadi sasa mteja wake mwenye umri mdogo ni mdada wa miaka 23 na mwenye umri mkubwa ni mwanamke wa miaka 70 na mara nyingi wateja wake huwa wanamrudia baadaye

Amesema anafurahia hasa anapopelekwa katika hotel za hadhi ya juu na wanawake wenye pesa wanaotaka huduma yake

Anadai anajivunia kuwa kah*ba wa kiume japo ni ajira yenye ukakasi kwa wengi na hata mshtuko kwa wengine

Amesema wanawake walioolewa mara nyingi huwatoza dola $600

Tofauti yake na makah*ba wa kike amesema mara nyingi yeye hatumiki sana kwa siku ila kwa siku anaweza kuwa na mteja mmoja tu wa kike na wateja wake sio wa muda mfupi kama kwa wanawake, yeye wateja wake huwa wanachukua masaa mawili kuendelea na wengine siku nzima

Aidha, amejitapa kuwa ana mwili wa kibaba hivyo wateja wake hasa ni wanawake wenye miaka 35 kuja juu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad