Huyu Kijana Erling Haaland ni Kama Mayele wa Yanga...Aendelea Kutupia Ligi Kuu ya Uingereza....

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAKlabu ya Manchester City imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa Kundi G wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliochezwa usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad, Uingereza.

Mabao ya Man City yamefungwa na John Stones dakika ya 80 na Erling Haaland dakika ya 84, wakati bao la Borussia Dortmund limefungwa na Jude Bellingham dakika ya 56.


Ushindi huo wa pili unaifanya Man City ifikishe pointi sita na kuendelea kuongoza kundi kwa pointi tatu zaidi ya Dortmund baada ya wote kucheza mechi mbili.


Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad