Huyu Ndio Msaidizi wa Kazi wa Haji Manara Ambae Amekuwa Gumzo MtandaoniAmeandika Haji Manara:

Nimesoma comments nyingi zinahoji Why umtambulishe hivi sasa Msaidizi wako? Wengine wakaenda mbali zaidi Kwa kusema sijui ninini!!

Mabibi na Mabwana ulikuwa haujafika muda sahihi wa kumtambulisha na mkiona hadi nimefanya hvyo,mjue kheri zimeangaza.


Yes:: amefanya kazi na mm since 2018 kama hii picha inavyoongea.Haya Wakulungwa Twende kazi 🤪 @rushaynah_
#Bugati

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad