JE? Ni Sahihi Kufunga Ndoa na Mwanamke au Mwanaume Ambae Mnafanya Kazi Moja


Zamani ilikuwa vigumu sana kuona wanamuziki wakifunga Ndoa na Wanamuziki wenzao ila Hivi karibuni imekuwa kawaida sana. Mwaka 2008 Beyonce na Jay Z walifunga Ndoa. 2019 Adekunle Gold alifunga ndoa na Simi. Mwaka huu Nandy na Nenga.


Hivi unaona ni sawa kabisa kuwa na ndoa za namna hii? Yani wewe ni Daktari then umuoe Daktari mwenzako. Au Mwanajeshi amuoe Mwanajeshi mwenzako.


Hamuoni kama inafanya couple yenu idumae kimawazo, maana kila siku mtaongelea Muziki/wagonjwa/vita, yani hamtakuwa na Jipya.


Ni unyama sana Dokta kumuoa Mwalimu, Mwanajeshi kumuoa Accountant, N.K. Inakuwa ni rahisi sana hata kumdanganya mwenzako, unaweza muambia leo tunajambo hili kazini, sasa Imagine wote ni wanajeshi utadanganya eti tuna safari ya Wiki moja, Akiuliza je si umeisha


💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad