Kajala Afunguka Sababu za Kuamua Kuwa VIDEO Vixen wa Harmonize Kwenye Video Mpya


Video ya Nitaubeba ya kwake  Mkali Harmonize imetoka tayari huku surprise kubwa ni kumuona Kajala Masanja mke wa Konde Boy kuwa kwenye video hiyo kama Video Vixen/Queen. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kajala ameweka sababu zilizo fanya kushiriki video ya wimbo huo kama Video Queen, akidai ni kwasababu ni wimbo mahususi aliotungiwa na mpenzi wake.


“I had to do this video because my hommie sang it for me

I love you so much hommie❤️

Your the best thing i ever had..

#NITAUBEBA Official video by #TEMBO @harmonize_tz is Out


💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad