google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Kriss Jenner Amtaja Kylie Jenner Kuwa Mtoto Wake Pendwa...Afunguka Kuhusu Kuuvujisha Mkanda wa Ngono wa Kim Kardashian na Ray Jay | UDAKU SPECIAL

Kriss Jenner Amtaja Kylie Jenner Kuwa Mtoto Wake Pendwa...Afunguka Kuhusu Kuuvujisha Mkanda wa Ngono wa Kim Kardashian na Ray Jay

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kriss Jenner Amtaja Kylie Jenner Kuwa Mtoto Wake Pendwa...Afunguka Kuhusu Kuuvujisha Mkanda wa Ngono wa Kim Kardashian na Ray Jay

The Late Late show na James Corden Alhamisi hii, Mama mzazi wa watoto 6 maarufu na drama nyingi (The Kardashians Family), Kriss Jenner (66) amefunguka mengi kuhusu familia yake alipowekwa kwenye kiti cha kugundua uongo (The Lie Detector Machine). Miongoni mwa vitu alivyo ulizwa ni kutaja mtoto wake pendwa zaidi kati ya watoto wake 6 (Kourtney Kardashian, Kim Kardashian, Khloé Kardashian, Rob Kardashian, Kendall Jenner na Kylie Jenner), na kama ni kweli alihusika kuvujisha mkanda wa ngono wa mwanaye Kim Kardashian mwaka 2007.

Kris Jenner amemtaja last born wake Kylie Jenner (25) kama ndiye mtoto wake pendwa zaidi, lakini kingine amekanusha kuhusika kuvujisha mkanda wa ngono (connection) wa Kim Kardashian kama ilivyo daiwa na mwanamuziki na muigizaji Ray J, aliyekuwa mpenzi wa Kim Kardashian kwa wakati huo ambaye pia ni muhusika kwenye connection.

Mwezi May mwaka huu, Ray J alidai hakuwahi vujisha sexy tape yake na Kim, na hayakuwa makubaliano yao, akiiambia Daily Mail, Ray J alidai Kim alimpatia mama yake mkanda wao wa ngono ambapo baadae, Kris Jenner akauvujisha.

Tape hiyo ilivuja mwaka 2007 na huo ndio ukawa mwanzo wa umaarufu wa Kim Kardashian hadi leo.

By Sajo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad