Kutana na Binadamu wa Kwanza Kuuza Maisha Yake kama Biashara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MIKE Merrill ndiye mtu pekee duniani anayeuzwa hadharani. Tangu 2008, maisha yake yameelekezwa kwa wanahisa wake, ambao wamenunua hisa ndani yake na kupiga kura juu ya mustakabali wake katika maisha yake kiujumla.

kwenye maamuzi tata ya kibinafsi kama vile uzazi, ushirikiano wa kitaaluma, kazi, siasa, na hata maisha yake ya uchumba huamuliwa na wenyehisa wake ambao ni pamoja na wafanyakazi wenzake, wapenzi, rafiki wa kike wa zamani pamoja na marafiki.


Mike Merrill amekuwa binadamu wa kwanza Duniani kuuza uhai wake
Baada ya kutajwa kwa vyombo vya habari katika “The Atlantic”, “Wired” sasa amekua maarufu na watu wengi kutaka kuwekeza kwenye maisha yake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad