LIST ya makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya Makocha wenye CAF A Diploma na zinazofanana (Equivalent) na CAF A.

Shirikisho hilo limesema kuwa limekuwa likifanya kozi mbalimbali kwaajili ya kuzalisha Makocha Katika ngazi tofauti ikiwemo zile za Juu.

Na wafuatao ni Makocha 21 wanaotambulika kuwa na CAF A Diploma baada ya kupitia katika kozi hizo.

1:Dismas Haonga
2:Dennis Kitambi
3:Fikiri Mahiza
4:Kidao Wilfred
5:Mecky Maxime
6:Juma Mgunda
7:Oscar Mirambo
8:Bakary Shime
9:Salvatory Edward
10:Ngawina Ngawina
11:Luhaga Makunja
12:James Wambura
13:Mohamed Laizer
14:Mohamed Muya
15:Ali Mohamed Ame
16:Maalim Swarehe
17:Edna Lema
18:Mbwana Makata
19:Shida Mayunga
20:Khalid Adam
21:Mussa Rashid


Hawa ni Makocha 21 ambao wana Leseni zinazofanana na CAF A (Equivalent)

1:Leodger Tenga
2:DR Mshindo Msolla
3:Rogasian Kaijage
4:Ally Mtumwa
5:Madaraka Bendera
6:Mohamed Adrof
7:Jamhuri Kihwelo
8:Fred Yesaya

10: Michael Bindala
11:Juma Nsanya Nsanya
12: Sylvester Marsh
13:Juma Mwambusi
14:Samsoni Mkisi
15:Rtd Major Abdul Mingange
16:Nasra Mohamed
17:Hamim Mawazo
18:Salum Mayanga
19:Charles Mkwasa
20:Hemed Morogoro
21: Abdallah Hussein

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad