Mabaki ya Mwanafunzi Aliyepotea Miezi Minne Iliyopita yakutwa Porini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mabaki ya mwili wa mwanafunzi, Levis Mwailemale (16) wa kidato cha nne katika  shule ya sekondari Ikuti iliyoko wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, aliyepotea zaidi ya miezi nane iliyopita yamekutwa porini pamoja na nguo alizokuwa amevaa wakati anapotea.

Familia imeeleza kuwa kijana Levis Mwailemale alipotea katika mazingira ya kutatanisha Januari 9 mwaka huu, ambapo walianza jitihada za kumtafuta bila mafanikio  hadi Septemba 18 walipokuta mabaki ya mwili wake.

Hata hivyo  maziko ya mwili wa kijana huyo  yalifanyika baada ya Jeshi la Polisi kukamilisha uchunguzi wake na kutoa kibali.
 

EATV
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad