google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Marioo, Rosa Ree, Rayvanny, Diamond, Zuchu, Nay wa Mitego, Frida Amani wang'ara vipengere vya AFRIMA | UDAKU SPECIAL

Marioo, Rosa Ree, Rayvanny, Diamond, Zuchu, Nay wa Mitego, Frida Amani wang'ara vipengere vya AFRIMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Waandaji wa Tuzo za All Africa Music Award (AFRIMA) wametoa orodha ya nyota wa muziki wa kiafrika watakaowania tuzo hizo mwaka huu.

Kwa Tanzania mwaka huu tumetisha kwa kuingiza wanamuziki wengi kwenye vipengele tofauti tofauti. Wanaotuwakilisha kwenye tuzo hizo ni pamoja na @diamondplatnumz @officialalikiba @officialnandy @naytrueboytz @marioo_tz @officialzuchu @rosa_ree @rayvanny @mbosso_ @navykenzoofficial na @fridaamaniofficial

Zoezi la upigaji kura linatarajiwa kuanza Septemba 25, 2022 na hafla ya ugawaji wa Tuzo itafanyika Desemba 8 - 11.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad