Mrembo Tunda Ajitapa "Nimemzalia Whozu PISI Kali Kushinda Mimi"

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPAANNA Kimario almaarufu Tunda a; ni pisi kali aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia kuuza sura kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva na baby mama wa msanii Whozu ambaye anasema kuwa, anamshukuru mno Mwenyezi Mungu kwa kumjaalia mtoto mrembo (pisi kali) hata kumzidi yeye.

Tunda anasema kuwa, kuna wakati haamini kama amepata mtoto mzuri wa kike kiasi hicho ambaye amezaa na Whozu na kumbatiza jina la Lolla.


Akizungumza na #GazetilaIJUMAA, Tunda anasema kuwa, anamshukuru Mungu kwa kumpatia mtoto mwenye afya njema na anayefanana na yeye.


Lakini kubwa zaidi, Tunda anasema kila akimuangalia anajisikia raha mno kwenye maisha yake.


“Nimekuwa najisikia raha sana sijui nisemeje mimi, hakika nimebarikiwa pisa kali sana, amefanana na mimi na mrembo kwelikweli, kwa nini nisijivune?” Anahoji Tunda.


Mara baada ya kujaaliwa mtoto huyo, kwa sasa Tunda anadaiwa kutengana na Whozu kisha kwenda kuutua mtima wake kwa staa wa muziki wa Singeli, Meja Kunta.


Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad