Mwajaku Ampigia Magoti Ommy Dimpoz na Kumuomba Msamaha "Tusameheane Najua Yote Uliopitia na Baba yako"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 TUSAMEHEANE-Kabla maharagwe hayajapikwa, huchambuliwa kwanza, ambapo yale maharage yalo mabovu hutupiliwa mbali ili yale mazuri yaweze kupikwa.


Hata hivyo, mvua inapokuja, yale maharage mabovu yaliyotupwa ardhini hugeuka kuwa mbegu, humea, ikakua na kuchanua kuwa maharage mazuri tena.


Na yule aliyeyajaji kuwa ni mabaya na kuyatupa huenda yatakapokomaa akavuna na kuyala kwa afya.


Kupitia #OmmyDimpozi nimejifunza Na maisha ndivyo yalivyo, unaweza ukatengwa, ukasemwa, ukadharauliwa na kuumizwa vibaya na wale uliowaamini. Lakini, Je, ni nani ajuaye njia za Mwenyezi Mungu?


Hao hao waliokuumiza itatokea siku watakutazama wakitegemea la kheri kutoka kwako. Huenda wakakupigia magoti kabisa wakihitaji walau neno lako moja tu wapone!


Usijipe laana, usihuzunike wala usilie pale Dunia inapokuegemea. Ni suala la muda tu kupata Mvua yako ya baraka! Mazungumzo yangu na mzee nyembo haya kua na lengo la kuharibu image yako hata mara moja . Najua story vizuri nia yangu ni kumpa furaha mzee tu .


Kupia video yako nikwambie tu ,Your germination moment is just around the corner! Pray, Believe, and Receive!! God bless y'all.


Love you my broo .! Let us forgive each other . Innah Llah Maaswabireen .Love You Broo 🙏🏾

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad