Mwanamke Afariki Dunia Baada ya Kupata Ajali ya Gari Akimkimbiza Mumewe na Mchepuko

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamke mmoja nchini Nigeria amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akimfukuzia mumewe aliyekuwa na mwanamke mwingine kwenye gari. Kwa mujibu wa shuhuda, mwanamke huyo baada ya kumuona mumewe akiwa na mwanamke mwingine wakitoka saluni ya Kike na kuingia kwenye gari, aliondoa gari yake kwa kasi kwa lengo la kuwahi mbele ili kuwaziba njia.


Baada ya ajali, mumewe alisimamisha gari na kumshusha yule mwanamke aliyekuwa naye na kisha kwenda kumsaidia mkewe ambapo alikimbizwa haraka hospitali lakini baadaye taarifa zilitoka kuwa amefariki dunia.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad