Mwanamke Ahukumiwa Jela Miaka 60 Jela Kwa Kumbaka Mtoto wa Kiume Mwenye Miaka 6

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanamke mmoja mjini Pennsylvania amehukumiwa kifungo cha miaka 60 Jela kwa kumbaka mtoto wa Kiume mwenye umri wa miaka 6.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Mwanasheria wa kitongoji cha Clinton, mwanamke huyo kwa jina Tonya Krout (38) amekutana na hukumu hiyo kufuatia kitendo chake cha kumbaka mara kwa mara mtoto huyo kati ya mwaka 2010 hadi 2015.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad