Rostam Mmiliki Mpya wa Ndege za Coastal

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPADar es Salaam. Ushindani katika sekta ya usafiri wa anga unatarajiwa kuongezeka nchini baada ya mfanyabiashara Rostam Aziz kuingia kwenye sekta hiyo akiwa na lengo la kufanya makubwa.

Gazeti hili limebaini kuwa, kupitia kampuni ya Taifa Aviation, mfanyabiashara huyo amenunua asilimia 51 ya hisa za Coastal Travels Company Limited kutoka kwa mwekezaji wa Kiitaliano mwenye asili ya Marekani, Carolina Colangelo.

Ununuzi huo wa hisa umemfanya Rostam kuwa mwekezaji mkuu wa shirika hilo la ndege kuanzia Septemba mosi, 2022.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad